WAZIRI MKUU ALIVYOHAMIA RASMI DODOMA - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Saturday, October 1, 2016

WAZIRI MKUU ALIVYOHAMIA RASMI DODOMA


Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kasim Majaliwa, amehamia rasmi mkoani Dodoma ikiwa ni mwanzo wa kutekeleza ahadi ya serikali kuhamia mkoani humo na kukufanya makao makao makuu.

Waziri mkuu alipokelewa  na mkuu wa mkoa wa Dodoma Adam kimbisa na viongozi wengine wa serikali.

Kabla ya kuondoka kwenda Dodoma akiwa mkoani Dar es salaam Waziri mkuu aliwaaga wanadaresalaam na kuwakaribisha wageni wote kuja Dodoma.



No comments: