TAARIFA RASMI KUHUSU VIFO NA MAJERUHI AJALI YA BASI NA ROLI DAR - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Monday, October 31, 2016

TAARIFA RASMI KUHUSU VIFO NA MAJERUHI AJALI YA BASI NA ROLI DAR

October 30 2016 maeneo ya Kimara Stop Over Dar es Salaam imetokea ajali ambayo imehusisha basi la abiria la Safari Njema (T990 AQF) ambalo limegongana na lori T534 BYJ ambapo magari yote yaliteketea kwa moto baada ya kugongana kusababisha kifo cha abiria mmoja na majeruhi 10.


Mkaguzi msaidizi wa Zimamoto, Kabanda Makene kakiongea na vyombo vya habari amesema haya>> ‘Ajali imetokea majira ya saa nane ndio taarifa tulizozipata kwanza walikuja watu wa kuzima moto ambao walikuwa ni wakujitolea baadae watu hawa walifukuzwa na wananchi kwa mawe

No comments: