HIKI NDICHO KIWANDA KIPYA ALICHOKIZINDUA MAGUFULI - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Thursday, October 6, 2016

HIKI NDICHO KIWANDA KIPYA ALICHOKIZINDUA MAGUFULI

Rais John Magufuli leo amezindua kiwanda cha usindikaji wa matunda kinachomilikiwa na kampuni ya Bakhresa huko Mkuranga mkoani Pwani na kuipa Tanesco miezi miwili kufikisha katika kiwanda hicho.

Akiongea katika uzinduzi huo Rais Magufuli amesema amefurahishwa na uwekezaji wa Bakhresa na kuahidi kumpa ardhi karibu na Dar es Salaam ili awekeze katika kilimo na kiwanda cha sukari.

No comments: