HATIMAYE TANZANIA YAANZA KUPUNGUZA MADENI INAYODAIWA KWA KASI - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Monday, October 3, 2016

HATIMAYE TANZANIA YAANZA KUPUNGUZA MADENI INAYODAIWA KWA KASI




Gavana wa benki kuu ya Tanzania Benno Ndulu amesema wamepunguza deni la taifa la ndani kwa shilingi bilioni 96 hii ikiwa ni mara ya kwanza baada ya muda mrefu.

Kwa deni la nje wamelipa dola milioni 90 kwenye deni walilokopa la dola milioni 600 kutoka benki ya Stanbic.






No comments: