LOWASA, MBOWE, MNYIKA WAKAMATWA - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Monday, August 29, 2016

LOWASA, MBOWE, MNYIKA WAKAMATWA

Viongozi wa CHADEMA, Mh.Lowassa, Mbowe na John Mnyika na Dk Vincent Mashinji wamekamatwa leoa kuhojiwa na polisi leo.

Akizumngumzia tukio hilo Mh. Tundu Lissu ambaye ni mwanasheria wa CHADEMA amesema viongozi hao wamekamatwa kwa tuhuma za kukiuka maagizo ya polisi yaliyokataza mikutano ya ndani.

Hata hivyo viongozi hao wamachiwa na wametakiwa kurejea kituoni ha po tarehe 01/09/2016 ambayo ndiyo siku rasmi waliyopanga kufanya maandamano ya UKUTA, ili kutoa maelezo zaidi.

No comments: