RYAN GIGGS ATEULIWA KOCHA/MCHEZAJI MANCHESTER UNITED - ANGA ZA KIMATAIFA

Latest

Friday, July 5, 2013

RYAN GIGGS ATEULIWA KOCHA/MCHEZAJI MANCHESTER UNITED

MANCHESTER CITY-UINGEREZA,Klabu ya Manchester United leo imemtangaza mchezaji mkongwe zaidi wa klabu hiyo kuwa kocha wakati akiwa bado anaendelea kuichezea klabu hiyo.

Taarifa hizo zimethibitishwa na mtandao rasmi wa Manchester United kwamba Giggs ambaye hivi karibuni alimaliza mafunzo yake ya ukocha atakuwa mmoja ya jopo la makocha watakaomsaidia David Moyes kuendesha jahazi liloachwa na Sir Alex Ferguson.

Pia wakati huo huo kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kwamba David Moyes amemteua Phil Neville kuwa kocha wa timu ya kwanza.

No comments: