Watu watatu wameripotiwa kufariki jumapili ya leo huko mjini Tokyo Japan baada ya sehemu ya andaki la barabara lenye urefu wa km 4.7 kuanguka na kufunika magari yaliyokuwa yanapita juu yake.kwa mujibu wa televisheni ya Japan juhudi za kuwaokoa watu wengine wliokwama ndai ya andaki hilo zinaendelea.Kumekuwepo na kufuka kwa moshi ingawa vikosi vya kuzima moto nchini humo vimesema vimedhibiti moto huo ingawa kuna dalili za tishio la kuanguka zaidi kwa andaki hilo.
TOKYO ,JAPAN.
No comments:
Post a Comment