DAMASCUS-SYRIA,
Kumetokea milipuko miwili huko Damascus nchini Syria ambapo mlipuko mmoja umeua watu 6 kwa mujibu wa wanaharakati wameripoti.Pa,oja na milipuko hiyo kumeripotiwa mapigano makali kati ya vikundi vya waasi na serikali mjini humo.
Milipuko hiyo imetokea katika kitongoji cha washia kinachoitwa Shia shrine na haijaeleweka kama walengwa walikuwa ni washia au Majengo ya usalama ya serikali yaliyopo maeneo hayo.kwa mujibu wa waasi wamesema watu 7 ndiyo waliouawa.
Licha ya mapigano ya kuipinga serikali kumekuwepo na mgawanyiko wa waislamu wa Kisuni na Washia ambapo imehofiwa kuwa wasuni wana lengo la kuwashambulia washia.
Thursday, November 1, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment